- Advertisement -spot_img

AUTHOR NAME

Pius Ooga

5 POSTS
0 COMMENTS

Inuka Tuangamize Jinamizi la Ukabila-Shairi

JINAMIZI Itwa ukabila eti, jinamizi liumao, Limo kwenye harakati, kama moto uchomao, kama ndimi za mauti, zinadisha nguvu zao, Li jinamizi hatari, lenye ndimi za mauti,   Jinamizi la mauti,...

Hadithi Fupi-Safari Ya Machungu

Hadithi hii inahusu matatizo yanayowakumba vijana hasa wanaotoka katika jamii maskini pindi tu wamalizapo masoma ya vyuo vikuu hususani ukosefu wa ajira.   SAFARI YA MACHUNGU Hatimaye...

Shairi-Mkononi Katufia Mtoto

  MKONONI KATUFIA MTOTO Leo kazaliwa mwana, nyingi raha kwa wazazi, Ngoja usiku mchana, timia tisa miezi, Kama malaika tena, furaha kwa wakaazi, Kazi si kuzaa mwana, kumlea ndio...

Wa kulaumiwa nani?

WA KULAUMIWA NANI? Sasa tumejisitiri, kitini cha kumbukumbu, Twatiririkwa tiriri, machozi ya kumbukumbu, Tumechoka sio siri, onwa wajinga mbumbumbu, Wa kulaumiwa nani?,   Ukweli umejidhihiri, kunaye adui kwetu, Ujinga umekidhiri, adui...

Shairi-Viongozi wa Kesho.

VIONGOZI WA KESHO Kwa nyingi bidii soma, katushauri walimu, Shuleni jibe hekima, nguzo kubwa muhimu, Maisha kesho tazama, kasisitiza walimu, Hii kesho twambiwayo, jameni ni gani siku?, N'kamsikiya kinena,...

Latest news

- Advertisement -spot_img