Misukosuko,uhasama na chuki inyoshuhudiwa katika muungano wa chama cha jubilee sio kitu ambacho hakikutarajiwa hasa ikizingatiwa ubinafsi wa mtu,kabila na kundi la watu Fulani...
Utata umezuka baada ya madai kuibuka kuwa msaidizi wa chifu mmoja kutoka gucha kusini kaunti ya kisii ameficha matokeo ya uchunguzi uliofanywa kuhusu madai...
Uhasama kati ya gavana wa kaunti ya kisii James Ongwae na naibu wake Joash Maangi unaendelea kuchacha.
Katika hatua za hivi karibuni kabla ya mchakato...