Mwanaume ajilipua na petroli hadi kufa eneo la Bondo.

7
160
Hii sio Picha halisi ya Mkasa. PICHA/HISANI

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka arobaine na minne alijilipua na petroli siku ya jumaine jioni hadi kufa eneo la Bondo Kaunti ya Siaya.

Duru za kuaminika zinasema kuwa Jirani walivunja mlango wa Edwin Omondi baada ya kuona moshi na kupata amechomeka hadi kufa.

Kulingana na Walter Ochieng’ Chifu wa kata ya Bondo Township, Mwanaume huyo alijimwagia petroli kabla ya kujilipua na kiberiti.

Bwana Ochieng’ hata hivyo amedokeza kuwa mwili wa marehemu umepelekwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Kaunti ndogo ya Bondo huku uchunguzi ukianza.

7 COMMENTS

 1. Hi! I’m at work surfing around your blog from my new apple iphone!
  Just wanted to say I love reading your blog and
  look forward to all your posts! Carry on the outstanding
  work! cheap flights 32hvAj4

 2. Your style is very unique compared to other folks I have read stuff from.
  Many thanks for posting when you have the opportunity, Guess I’ll just bookmark this site.

 3. Its such as you read my mind! You appear to understand a lot
  about this, like you wrote the guide in it or something.
  I feel that you could do with a few p.c. to force the message house a bit, however instead of that, this is magnificent blog.
  A great read. I’ll certainly be back.