Mwalimu wa Shule ya upili apatikana amefariki katika msitu Maungu.

10
146
Mwili wa Mwalimu ambaye alipotea tangu Jumatano wiki Jana umepatikana ndani ya Msitu Maungu. PICHA/HISANI

Mwalimu mmoja wa shule ya upili ambaye alipotea Jumatano wiki jana amepatikana amefariki ndani ya msitu Maungu katika kaunti ya Taita Taveta.

Bwana Kepha Otwoma aliripotiwa kupotea na familia yake kabla ya mwili wake kupatikana.

Kulingana na maafisa wa polisi, Mwili wa mwalimu huyo wa shule ya upili ya Mwaghogho ulipatikana ukining’inia juu ya mti.

OCPD wa Voi bwana Joseph Chesire alisema kuwa mwili huo ulipatikana na wachunga mifugo ambao walipiga ripoti kwa polisi.

Afisa huyo wa Polisi alisema kuwa kijikaratasi chenye ujumbe wa sababu ya kujitoa uhai wake kilipatikana na uchunguzi umeanzishwa kubaini kilichosababisha mwalimu huyo kujitoa uhai.

10 COMMENTS

 1. I think this is one of the most significant info for me. And i’m satisfied reading your article.
  However wanna statement on some general issues, The site style is great, the articles is in point of fact nice : D.

  Just right process, cheers adreamoftrains best web hosting company

 2. I’m not that much of a online reader to be honest but your
  blogs really nice, keep it up! I’ll go ahead and bookmark your website to come back
  down the road. Many thanks y2yxvvfw cheap flights

 3. Thank you for the auspicious writeup. It actually used to be a entertainment account
  it. Look complicated to more introduced agreeable from
  you! By the way, how can we keep up a correspondence?

 4. Hey There. I found your blog using msn. This is a really well written article.
  I’ll be sure to bookmark it and return to read more of your useful information.
  Thanks for the post. I’ll definitely comeback.