Jubilee Haipo tena 2022 asema Mchanganuzi wa Siasa

Misukosuko,uhasama na chuki inyoshuhudiwa katika muungano wa chama cha jubilee sio kitu ambacho hakikutarajiwa hasa ikizingatiwa ubinafsi wa mtu,kabila na kundi la watu Fulani waliokuwa wakishikilia mwaka wa uchaguzi unavyokaribia.…

Utawala wa Mkoa walaumiwa kufuatia ongezeko la visa vya unajisi Kisii

Utata umezuka baada ya madai kuibuka kuwa msaidizi wa chifu mmoja kutoka gucha kusini kaunti ya kisii ameficha matokeo ya uchunguzi uliofanywa kuhusu madai ya kubakwa kwa mwanafunzi mmoja msichana…

Kulikoni Kaunti ya Kisii, Vita vinazidi kuchacha

Uhasama kati ya gavana wa kaunti ya kisii James Ongwae na naibu wake Joash Maangi unaendelea kuchacha. Katika hatua za hivi karibuni kabla ya mchakato wa BBI  na mkutano uliofanyika ndani…

ODM yatia msumeno kwa wawakilishi wadi wao waliomutimua Naibu spika wa Nyamira.

Chama cha Orange Democratic Movement sasa kinahitaji maelezo kamili kutoka kwa wawakilishi wadi sita wa Kaunti ya Nyamira kwa kuunga mkono na kupigia kura mswada ambao ulimutimua naibu spika wa…

Mwanaume amujeruhi mkewe kwa maji moto huko Gatundu.

Mwanaume mmoja mwenye umri wa makamo amemujeruhi bibi yake vibaya baada ya kumumwagia maji moto katika kijiji cha Kanjuku huko Gatundu Kasikazini. Kulingana na Majirani, Samuel Nguta amekuwa na mzozo…

Likizo fupi ya wanafunzi yaongezwa asema Amina.

Waziri wa Elimu Amina Mohammed ametangaza kuwa kuanzia muhula ujao wanafunzi wa shule za msingi wataanza kufurahia likizo fupi ya siku tano. Akizungumza katika kongamano la walimu wa shule za…

Sossion azidi kupinga uhamisho wa walimu.

Chama cha walimu nchini KNUT kimesimama kidete kupinga hatua ya kuhamishwa kwa walimu kuelekea shule za mbali na nyumbani kwao. Akizungumza pale Mombasa siku ya Jumanne katika kongamano la walimu…

Afisaa mmoja wa Polisi Ajitoa Uhai.

Afisaa mmoja wa police kutoka kitengo cha utawala amejitoa uhai kwa kujipiga risasi baada ya kuwaua watu wengine wawili. Afisaa huyo inasemekana alikuwa amepewa kazi ya kuchunga afisi za Tume…

Mwanaume ajilipua na petroli hadi kufa eneo la Bondo.

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka arobaine na minne alijilipua na petroli siku ya jumaine jioni hadi kufa eneo la Bondo Kaunti ya Siaya. Duru za kuaminika zinasema kuwa Jirani…