Jubilee Haipo tena 2022 asema Mchanganuzi wa Siasa

Misukosuko,uhasama na chuki inyoshuhudiwa katika muungano wa chama cha jubilee sio kitu ambacho hakikutarajiwa hasa ikizingatiwa ubinafsi wa mtu,kabila na kundi la watu Fulani waliokuwa wakishikilia mwaka wa uchaguzi unavyokaribia.…

Utawala wa Mkoa walaumiwa kufuatia ongezeko la visa vya unajisi Kisii

Utata umezuka baada ya madai kuibuka kuwa msaidizi wa chifu mmoja kutoka gucha kusini kaunti ya kisii ameficha matokeo ya uchunguzi uliofanywa kuhusu madai ya kubakwa kwa mwanafunzi mmoja msichana…

Kulikoni Kaunti ya Kisii, Vita vinazidi kuchacha

Uhasama kati ya gavana wa kaunti ya kisii James Ongwae na naibu wake Joash Maangi unaendelea kuchacha. Katika hatua za hivi karibuni kabla ya mchakato wa BBI  na mkutano uliofanyika ndani…

Inuka Tuangamize Jinamizi la Ukabila-Shairi

JINAMIZI Itwa ukabila eti, jinamizi liumao, Limo kwenye harakati, kama moto uchomao, kama ndimi za mauti, zinadisha nguvu zao, Li jinamizi hatari, lenye ndimi za mauti,   Jinamizi la mauti,…

Hadithi Fupi-Safari Ya Machungu

Hadithi hii inahusu matatizo yanayowakumba vijana hasa wanaotoka katika jamii maskini pindi tu wamalizapo masoma ya vyuo vikuu hususani ukosefu wa ajira.   SAFARI YA MACHUNGU Hatimaye Yusufu alifika kwenye barabara…

ODM yatia msumeno kwa wawakilishi wadi wao waliomutimua Naibu spika wa Nyamira.

Chama cha Orange Democratic Movement sasa kinahitaji maelezo kamili kutoka kwa wawakilishi wadi sita wa Kaunti ya Nyamira kwa kuunga mkono na kupigia kura mswada ambao ulimutimua naibu spika wa…

Shairi-Mkononi Katufia Mtoto

  MKONONI KATUFIA MTOTO Leo kazaliwa mwana, nyingi raha kwa wazazi, Ngoja usiku mchana, timia tisa miezi, Kama malaika tena, furaha kwa wakaazi, Kazi si kuzaa mwana, kumlea ndio kazi,…

Wa kulaumiwa nani?

WA KULAUMIWA NANI? Sasa tumejisitiri, kitini cha kumbukumbu, Twatiririkwa tiriri, machozi ya kumbukumbu, Tumechoka sio siri, onwa wajinga mbumbumbu, Wa kulaumiwa nani?,   Ukweli umejidhihiri, kunaye adui kwetu, Ujinga umekidhiri,…

Shairi-Viongozi wa Kesho.

VIONGOZI WA KESHO Kwa nyingi bidii soma, katushauri walimu, Shuleni jibe hekima, nguzo kubwa muhimu, Maisha kesho tazama, kasisitiza walimu, Hii kesho twambiwayo, jameni ni gani siku?, N’kamsikiya kinena, kwa…

Mwanaume amujeruhi mkewe kwa maji moto huko Gatundu.

Mwanaume mmoja mwenye umri wa makamo amemujeruhi bibi yake vibaya baada ya kumumwagia maji moto katika kijiji cha Kanjuku huko Gatundu Kasikazini. Kulingana na Majirani, Samuel Nguta amekuwa na mzozo…